KOZI ZITOLEWAZO
Chuo cha ualimu Tanga Elite kinatoa kozi mbalimbali za ualimu kama zifuatazo
• Ualimu wa shule za msingi (Grade A)
Kozi hii inalenga katika kuwaandaa walimu wa shule za msingi ambao watawezesha kufundisha darasa la kwanza mpaka la saba(STD 1-7)
• Stashahada ya ualimu shule za msingi(Diploma in primary education)
Kozi hii inalenda kuwaandaa walimu wa Grade A wanaojindeleza wakiwa kazini ili kupata daraja la juu kitaalima.
• Ualimu wa awali(Certificate in early childhood development education)
Kozi hii inalenga kuwaandaa walimu wa madarasa ya awali katika kila shule za msingi ili kuwezesha kuwaandaa wanafunzi watakaojiunga na darasa la kwanza
• Stashahada ya ualimu shule za awali(Diploma in early childhood development education)
Kozi hii inalenga kuwawezesha waalimu waliofaulu kwa kiwango cha cheti awali kujiendeleza ili kupata daraja la juu kitaaluma